.
.
.
.
.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga
|
TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.
mbani
NYUMBANI
HABARI
SIASA
MICHEZO
BURUDANI
TABASAMU
KIMATAIFA
Jumatano, 4 Novemba 2015
BARAZA LA WAZEE DAR LAMPONGEZA DK MAGUFULI KWA USHINDI
Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Mkoa wa Dar es Salaam, Hemed Mkali (kulia) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu uamuzi wa baraza hilo wa kumpongeza Rais Mteule wa Tanzania, Dk. John Magufuli kwa ushindi alioupata katika katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika nchini Oktoba 25. Kutoka kushoto ni Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa mkoa huo, Juma Simba na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhan Madabida ambao walikuwa wajumbe waalikwa. (PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG)
Katibu wa Baraza la Wazee Mkoa wa Dar es Salaam, Mohamed Mtulia akizungumza katika mkutano wa kumpongeza Dk Magufuli kwa ushindi.
Wajumbe wa Baraza la Wazee Mkoa wa Dar es Salaam wakiwa katika kikao
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni
Chapisho Jipya
Taarifa za zamani
Nyumbani
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni ( Atom )
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni