Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akitoka ofisini kwake Ikulu jijini Dar es salaam baada ya kufanya kazi
katika siku ya mwisho leo Novemba 4, 2015 kabla ya kukabidhi madaraka
kwa Rais wa awamu ya Tano anayetarajiwa kuapishwa kesho Dkt John Pombe
Joseph Magufuli.
Picha na IKULU
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni