Bondia Callum Smith amemdunda Rocky
Fielding katika raundi ya kwanza na kufanikiwa kushinda taji la uzani
wa super-middleweight nchini Uingereza katika pambano lao Jijini
Liverpool.
Callum Smith alimtwanga mpinzani
wake huyo wa jadi Rocky Fielding kwa kuonyesha uwezo wa aina yake
ambapo alimtoa kwa KO ndani ya dakika mbili na sekunde 45 za raundi
ya kwanza.
Bondia Callum Smith akimpiga konde zito la kushoto Rocky
Fielding
Refa akimzuia Callum Smith asiuwe huku Rocky Fielding akiwa chali chini



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni