.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 4 Novemba 2015

JIMBO LA OHIO NCHINI MAREKANI LAKATAA PENDEKEZO LA KUHALALISHA BANGI

Wapiga kura wa jimbo la Ohio nchini Marekani wamekataa pendekezo la kuhalalisha uvutaji wa bangi kwa mujibu utabiri wa vyombo vya habari.

Hatua hiyo ya uhalalishaji wa matumizi ya bangi, inalenga kufanya mabadiliko katika Katiba ili kuruhusu matumizi ya bangi kama tiba kwa mtu mwenye umri wa kuanzia miaka 21.

Wapiga kampeni ya kuhalalishwa matumizi ya bangi katika jimbo la Ohio walitumia karibu dola milioni 12, kutangaza kupigia kura uamuzi huo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni