Rais Abdul Fattah al-Sisi ametetea
sheria kali za Misri za kukamata wapinzani wenye misimamo mikali
akisisitiza kwa nchi hiyo ipo katika njia ya kuelekea katika
demokrasia.
Sisi anayetarajiwa kwenda Uingereza,
ameviambia vyombo vya habari kuwa Misri inatishiwa na vikundi vyenye
itikadi kali na inahofia kuanguka kwa utawala kulikoathiri majirani
zake.
Rais Sisi amesema hali ya Misri
inahitaji sheria kali ili kudhibiti kutokea machafuko kwa kuwa ni
tofauti na hali ya Ulaya.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni