Kocha ya Liverpool Jurgen Klopp
amekiri kuwa alihisi ameachwa mwenyewe uwanjani wakati akishuhudia
mashabiki wa timu yake wakiondoka katika dimba la Anfield jana baada
ya kupachikwa bao la pili na Crystal Palace.
Kocha huyo aliangalia nyuma uwanjani
baada ya Scott Dann kufunga goli la kichwa na kufanya matokeo kuwa
2-1, na kushuhudia mashabiki wa Liverpool wakiondoka dimbani badala
ya kukaa kuhamasisha wachezaji kurejesha goli hilo.
Mashabiki wa Liverpool wakiondoka jukwaani baada ya kufungwa bao la pili
Mchezaji wa zamani wa Liverpool Steven Gerrard alishuhudia kipigo hicho



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni