.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 15 Desemba 2015

WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA MAREKANI, JOHN KERRY KUONGEA NA RAIS VLADIMIR PUTIN MOSCOW

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, John Kerry, yupo Jijini Moscow kufanya mazungumzo ya kujaribu kuondoa tofauti na Urusi kuhusiana na mchakato wa kisiasa wa kumaliza vita nchini Syria.

Bw. Kerry anatarajia kukutana na rais wa Urusi, Vladimir Putin, pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Bw. Sergei Lavrov kuzungumzia suala hilo.


Marekani inataka rais Assad ajiuzulu wakati Urusi ikisema uamuzi huo waachiwe wananchi wa Syria wenywe.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni