Baadhi ya Wahariri wakifuatilia Mkutano wa Jukwaa la Wahariri unaofanyika Morogoro kwenye Hoteli ya Nashera
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri (TEF) Absolom Kibanda wa pili kutoka kulia akifurahia jambo
Wahariri wakiwa makini wakifuatilia mkutano huo wa kwanza kulia ni Abdalah Majura na Tom Chilala mwenye miwani
Mhariri Apolinary Tairo akichangia jambo kwenye mkutano huo unaofanyika Morogoro
Wahariri wakiwa kwenye picha ya pamoja nje ya ukumbi wa Nashera Morogoro. (Picha kwa Hisani ya TEF).





Hakuna maoni :
Chapisha Maoni