.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 19 Januari 2016

MUIGIZAJI MEXICO AHOJIWA NA POLISI KWA KUWA NA UHUSIANO NA GUZMAN

Muigizaji filamu wa Mexico, Kate del Castillo ameitwa kwa ajili ya kuhojiwa na vyombo vya dola kwa kuhusika na mkuu wa genge la dawa za kulevya Joaquin “El Chapo” Guzman.

Muigizaji huyo aliandaa mkutano mwezi Oktoba baina ya Guzman aliyetoroka gerezani na muigizaji filamu wa Hollywood, Sean Penn.

Del Castillo na Guzman waliwasiliana kwa ujumbe wa maandishi mara kadhaa kabla ya Sean Penn kukutana na mhalifu huyo kaskaini mwa Mexico.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni