.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 20 Februari 2016

29 DAYS TO GO; LADY JAYDEE OFFICIAL COUNT DOWN #NAAMKA TENA


                                                                                                             Lady Jaydee

Mkongwe wa muziki wa bongo fleva Lady Jaydee ametangaza rasmi kurudi tena kwenye muziki baada ya ukimya wa muda kidogo kwenye muziki. Lady Jaydee ameweka wazi ujio wake mpya kwenye muziki ikiwa leo ni siku ya 29 kuelekea uzinduzi wa #NaamkaTena. 

Tazama promo ya siku ya 29 ambapo Mh. Nape Nnauye kamzungumzia Lady Jaydee hivi.

"Mimi Kama kiongozi wa Sanaa nchini, Nitahakikisha natetea muziki wa Tanzania Lady JayDee anaamka tena", amesema Mh.Nape Nnauye.

                                           #LadyJayDeeOfficialCountDown #NaamkaTena

                                            https://www.youtube.com/embed/kuMcvuL9fR0

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni