.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 7 Februari 2016

IDRIS ELBA NA NAOMI CAMPBELL WANASWA WAKILA RAHA PAMOJA KWENYE KLABU YA USIKU

Muigizaji filamu Idris Elba na Naomi Campbell wamepata muda wa kuwa pamoja usiku katika klabu moja Jijini New York Marekani licha ya kukabiliwa na ratiba ngumu za kikazi.

Nyota hao wamekuwa ni marafiki wa karibu tangu Elba, 43, alipojitolea kumuunga mkono Naomi, 45, kwenye hafla ya asasi ya Fashion For Relief charity iliyofanyika mwaka jana.

Nyota huyo wa filamu Muingereza Elba alionekana akiwa amembatana na Naomi wakati wakitoka pamoja kwenye klabu ya usiku ya 1 Oak, hata hivyo kila mtu aliondoka na gari lake.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni