.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 7 Februari 2016

UCHUNGUZI WABAINI BOMU NDILO LILILOSABABISHA MLIPUKO KWENYE NDEGE SOMALIA


Mlipuko uliotoboa tundu kubwa kwenye ndege ya abiria iliyokuwa ikipaa kutoka katika uwanja wa ndege wa Mogadishu nchini Somalia, uliotokea siku ya jumanne ulisababisha na bomu.

Waziri wa Usafirishaji wa Somalia Ali Ahmed Jamac, amesema bomu hilo lilikuwa na lengo la kuwauwa abiria wote waliokuwamo kwende ndege hiyo ya shirika la ndege la Daallo.

Katika tukio hilo abiria mmoja alirushwa kutoka ndani ya ndege na kufa ambapo abiria wengine wawili walijeruhiwa. Ndege hiyo aina ya Airbus 321 ililazimika kutua kwa dharua baada ya tukio hilo.
             Tundu kubwa la kupasuka sehemu ya ndege linavyoonekana kwa ndani

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni