.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 27 Februari 2016

TIMU YA ATLETICO MADRID YAICHAPA REAL MADRID NA KUITIBULIA MAHESABU YA KUSAKA UBINGWA

Timu ya Atletico Madrid imekatishwa matumaini ya Real Madrid kutwaa kombe la Ligi Kuu ya Hispania La Liga baada ya kuichapa bao 1-0.

Kocha Diego Simeone na timu yake sasa yupo nyuma kwa pointi tano nyuma ya vinara Barcelona ambao wanoa mchezo mmoja mkononi, huku Real ikiwa nyuma kwa pointi tisa.

Katika mchezo huo Antoine Griezmann alifunga goli pekee mapema katika kipindi cha pili, baada ya kupata pande la Filipe Luis.
         Kiungo wa Real Madrid Isco akinyanyua daruga lililomlenga Fernando Torres
          Cristiano Ronaldo akitamani kudondosha chozi kwa kuchanganyikiwa na kipigo

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni