.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 11 Februari 2016

WATOTO SITA WAMEKUFA KATIKA AJALI ILIYOHUSISHA BASI NA LORI NCHINI UFARANSA

Watoto sita wamekufa katika ajali iliyohusisha basi la shule magharibi mwa Ufaransa kwa mujibu wa maafisa wa nchi hiyo.

Ajali hiyo imetokea kati kati ya mji wa Rochefort huko Charente-Maritime leo majira ya saa moja asubuhi.

Basi hilo ambalo lilikuwa likisafiri kutokea Ile d'Oleron kwenda Surgeres liligongana na lori kwa mujibu wa mamalaka za nchi hiyo.

Ajali hiyo imetokea ikiwa siku moja tu kupita tangu basi kupata ajali na kuuwa watoto wawili mashariki mwa Ufaransa.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni