Watu wanne wameuwawa akiwemo mtu
mwenye silaha katika matukio ya mashambulizi ya mfululizo kwenye
jimbo la Kansas, Marekani.
Watu wengine 14 wamejeruhiwa 10 kati
yao wapo mahututi, katika shambulizi kwenye kiwanda cha lawnmower,
Hesston.
Mtuhumiwa wa mashambulizi hayo
ambaye alikuwa ni mwajiriwa wa kiwanda hicho ameuwawa kwa kupigwa
risasi kwa mujibu wa polisi.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni