.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 27 Machi 2016

HERI YA PASAKA

Uongozi wa Rweyunga Blog unawatakia wasomaji wake wote Pasaka njema yenye utulivu na amani tele, huku tukimuomba Mungu atujaalie moyo wa kusamehe kama alivyofanya Yesu Kristo licha ya kupitia mateso makali pale juu msalabani. Amen.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni