.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 20 Machi 2016

KUNDI LA DOLA YA KIISLAM LAUWA POLISI 13 KATIKA KIZUIZI NCHINI MISRI

Kundi la Dola ya Kiislam (IS) limedai kuhusika na shambulizi lililouwa polisi 13, katika eneo la rasi ya Sinai nchini Misri.

Shambulizi hilo lilifanywa kwa kombora lililolenga kizuizi cha polisi kilichopo katika mji wa El-Arish, kwa mujibu wa maafisa wa serikali.

Hata hivyo kundi hilo limedai mtu aliyevaa bomu alijitoa mhanga kwa kujilipua katika kizuizi hicho wakati wakikivamia.

Wapiganaji wa jihad wamewauwa mamia ya maafisa usalama huko Sinai tangu jeshi kumuondoa madarakani rais Mohammed Morsi mwaka 2013.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni