.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 19 Machi 2016

MTU AJILIPUA NA KUUWA WATU WANNE JIJINI INSTABUL NCHINI UTURUKI

Mtu mwenye bomu amejilipua katika eneo la maduka lenye harakati nyingi katika Jiji la Istanbul nchini Uturuki na kuuwa watu wapatao wanne.

Watu wengine 36 wamejeruhiwa baadhi yao ni raia wa kigeni wakati bomu hilo likilipuka karibu na jengo la serikali katika mtaa wa Istiklal.

Hakuna mtu aliyekiri kutekeleza shambulizi hilo, kufanyika katika miezi ya hivi karibuni.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni