.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 21 Machi 2016

MAHAKAMA YAWAONYA MADONNA NA GUY RITCHIE KUHUSU MTOTO WAO

Mahakama Kuu imewaonya Madonna na Guy Ritchie kwamba wasipo maliza mvutano wao wa kisheria kuhusiana na malezi ya mtoto wao Rocco, 15, utamuathiri mtoto huyo.

Jaji MacDonald amewasihi wanandoa hao waliotengana kumaliza tofauti zao iwapo mtoto huyo aishi, wakati akitoa maamuzi kesi hiyo itafanyika Jijini New York na si London.
                                                                     Rocco na Baba yake Guy Ritchie

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni