Watu wawili wamekufa na wengine 49 kujeruhiwa katika mji mkubwa
wa nchini Morocco baada ya mashabiki wa wapinzani wa Raja de
Casablanca kupigana ngumi baada ya mchezo wao uliofanyika jumamosi.
Mashabiki walikuwa wakikimbia mapigano hayo ambapo vitu
vilirushwa viti viling'olewa katika dimba la Mohammed V, licha ya
wenyeji kushinda kwa mabao 2-1 dhidi ya Chabab Rif Al Hoceima ya Al
Hoceima kaskazini mwa Morocco.
Mashabiki waliokuwa taabani kufuatia ghasia hizo wakilazwa uwanjani
Shabiki aliyepoteza fahamu akiwa amebebwa kuondolewa jukwaani
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni