.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 22 Machi 2016

MILIPUKO YA MABOMU YAUWA WATU 31 NA KUJERUHI 81 JIJINI BRUSSELS

Watu 31 wamekufa na wengine wengi kujeruhiwa vibaya katika mashambulizi ya kigaidi yaliyofanywa kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa na kwenye stesheni ya treni Jini Brussels.

Mabomu mawili yalilipuka kwenye uwanja wa Zaventem na kuuwa watu 11 na kujeruhi wengine 81, Waziri wa Afya wa Ubelgijia amesema.

Mlipuko mwingine ulitokea kwenye stesheni ya treni ya metro baada ya saa moja baadaye na kuuwa watu 20, meya wa Brussels amesema.
                              Mtu aliyejeruhiwa na mlipuko wa bomu akiwa amelala chini 
                  Watoa huduma ya kwanza wakiwa wanatoa huduma kwa majeruhi 

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni