.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 22 Machi 2016

REAL MADRID YAFUNGUA MILANGO YA MAZUNGUMZO YA MKATABA WA BALE

Timu ya Real Madrid ya Hispania imefungua milango ya mazungumzo ya mkataba na nyota wao Gareth Bale.

Bale mwenye umri wa miaka 26 mkataba wake wa mshahara wa paundi 300,000 kwa wiki umebakiza miaka mitatu lakini Real inataka kumuongezea miaka miwili ziadi.

Wiki iliyopita Bale aliweka rekodi ya kuwa Muingereza aliyefunga magoli mengi katika ligi ya Kuu ya Hispania baada ya kupachika bao lake la 43.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni