Mwanamuziki Adele amewashutumu
magaidi waliohusika na milipuko ya mabomu ya Ubelgiji, akiwa katika
tamasha lake ukumbi wa O2 Arena jana usiku, huku mashabiki wake
wakiwasha simu zao ukumbi mzima kuungana Jiji la Brussels.
Adele alisitisha kwa muda kuimba
Jijini London, wakati akiongelea kwa hisia kubwa tukio la milipuko ya
Jiji la Brussels iliyouwa watu 34, na katika kuungana na wakazi wa
jiji hilo la Ubelgiji.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni