.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 21 Machi 2016

RAIS BARACK OBAMA ATUA NA FAMILIA YAKE CUBA KATIKA ZIARA YA KIHISTORIA

Rais Barck Obama amekuwa rais wa kwanza kuitembelea Cuba baada ya miongo 10 kupta akiweka historia kwa ziara yake aliyoambatana na mkewe Michelle, watoto wake Sasha na Malia.

Wakati Obama akiwasili Jijini Havana alikaribishwa na mvua iliyokuwa ikinyesha na kwa upande mwingine kulikuwa na maandamano ya kundi la haki za binadamu.

Rais wa Cuba Raul Castro hakuwepo uwanja wa ndege kumpokea Obama wakati akitua katika uwanja wa ndege wa Havana. 
          Rais Obama akiwa na mwavuli akijikinga na mvua yeye na mkewe Michelle
   Rais Obama akimueleza kitu binti yake Malia alipotembelea mji mkongwe wa Havana
 Watoto wa rais Obama  Malia na Shasha wakifurahi jambo wakiwa pamoja nchini Cuba
            Rais Obama akiwapungia mkono wananchi wa Cuba katika mji mkongwe
   Ndege la rais  Air Force One ikiwa inaelekea kutua Cuba huku wananchi wakiishangaa

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni