.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 8 Machi 2016

WANAWAKE KISIWANI PEMBA WAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KATIKA VIWANJA VYA GOMBANI



Afisa Mdhamini Wizara ya Uwezeshaji Ustawi wa Jamii Vijana Wanawake na Watoto Pemba,Bi. Mauwa Makame Rajab, akitoa maelezo ya Wizara yake katika siku ya Maadhimisho ya wanawake Duniani, yaliyofanyika katika Uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba.
Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Mhe:Hanuna Ibrahim Masoud akizungumza na wananchi wa wilaya ya Chake Chake katika maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani, ambapo kisiwani Pemba yamefanyika katika Uwanja wa MIchezo Gombani
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe:Mwanajuma Majid Abdalla akizungumza na wananchi wa mikoa miwili ya Pemba, katika maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani yaliyofanyika huko katika uwanja wa michezo Gombani
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe:Mwanajuma Majid Abdalla akizungumza na wananchi wa mikoa miwili ya Pemba, katika maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani yaliyofanyika huko katika uwanja wa michezo Gombani
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe:Mwanajuma Majid Abdalla akikabidhi cheki ya shilingi Milioni 1,500,000/= kwa kiongozi wa kikundi cha Duka Asha Mwalimu Haji, maara baada ya maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani.

Viongozi mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Kisiwani Pemba, wakimsikiliza hutuba ya maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani, iliyotolewa na Mkuu wa Mkoa wa kusini Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni