Mkurugenzi wa Idara ya Sanaa Wizara ya Habari ,Utamaduni, Sanaa,na Michezo Leah Kihimbi akizindua mradi wa vyombo vya muziki kati ya Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBA) na Kituo cha Utamaduni na Maendeleo cha Watu wa Denmark (CKU), uzinduzi huo ulifanyikakatika Chuo cha Sanaa mjini Bagamoyo mkoani Pwani jana.
Msimamizi wa program wa Kituo cha Utamaduni na Maendeleo Denmark (CKU) hapa Nchini,Mandolin Kahindi akielezea utekelezajiwa mpango wa utamaduni na ubunifu Tanzania inayotekelezwa na kituo hicho kwaushirikiano na ubalozi wa Denmark nchini Tanzania.
Kaimu Mkuu wa Taasisi ya na Utamaduni (TaSUba ) Michael Kadindena akitoa neno la shukrani wakati wahafla hiyo.
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Sanaa Wizaraya Habari ,Utamaduni, Sanaa,na Michezo, Leah Kihimbi akipiga kinanda wakati wa uzinduzi wa mradi wa vyombo vya muziki kati ya Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBA) na Kituo cha Utamaduni na Maendeleo cha Watu wa Denmark (CKU), uzinduzi huo ulifanyika katika Chuo cha sanaa Bagamoyo jana. Wanaoshudia katikati ni Mtendaji Mkuu wa na Utamaduni (TaSUba) MichaelKadinde na kulia ni Mratibu wa Mradi huo, Melkiades Banyanka.
Mkurugenzi wa Idara ya Sanaa Wizara ya Habari ,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Leah Kihimbi akipuliza Tarumbeta ambacho ni moja ya vifaa vya muzikivilivyotolewa na Kituo cha utamaduni na maendeleo cha Denmark (CKU)
Wanafunzi wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBA),pamoja na wageni waalikwa wakishuudia kwa uzinduzi wa mradi huo.
Picha ya pamoja
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni