.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 1 Aprili 2016

KAMPUNI YA MAGARI YA TESLA YATAMBULISHA GARI LA UMEME LA BEI NAFUU

Kampuni ya magari ya Tesla imetambulisha gari lake jipya la kutumia umeme aina ya Model 3, ambalo ni la gharama nafuu kuliko magari mengine ya kampuni hiyo.


Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo Elon Musk amesema gari hilo la viti vitano litauzwa kwa bei ya dola 35,000 linauwezo wa kwenda umbali wa kilomita 346 kila baada ya kulichaji.

Bw. Musk amesema malengo ya tesla ni kuzalisha magari 500,000 kwa mwaka baada ya uzalisjaji wake kushika kasi.
                                              Muonekano wa ndani wa gari hiyo ya Tesla Model 3

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni