Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais Mstaafu Mhe Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mjumbe wa Kamati Kuu Maalum ya watu 7 inayoongoza Chama Cha CPC na Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China katika Ofisi za Makao Makuu ya CPC zilizopo Grand Hall jijini Beijing, China.
Mwenyekiti wa CCM na Rais Mstaafu Dk Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika moja ya vikao vyake akiwa ziarani China.



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni