.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 12 Aprili 2016

PRINCE WILLIAM ACHEZA KERAM NA VIJANA WANAOSAKA MAISHA JIJINI NEW DELHI

Prince William akiambatana na mkewe Kate wametembelea kituo cha kusaidia vijana wanaokimbilia Jijini New Delhi Nchini India na kupata fursa ya kucheza nao mchezo wa maarufu barani asia wa Keram.

Wanandoa hao wa familia ya kifalme, walitembelea kituo hicho kinachosimamiwa na Mfuko wa Salaam Baalak, ambao ni asasi inayowasaidia vijana wanaowasili Jijini New Delhi kwa njia ya reli kila siku.
                       Prince William akilenga kete wakati akicheza mchezo wa Keram

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni