.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 15 Aprili 2016

TETEMEKO LA JAPAN LAUWA WATU TISA NA KUJERUHI WENGINE 250

Tetemeko la ardhi limeuwa watu tisa na kujeruhi zaidi ya watu 250 baada ya kutokea kusini mwa Japan.

Tetemeko hilo limeangusha majengo na maafisa wamesema kunawatu wengi ambao inawezekana wamefukiwa na vifusi.

Maelfu ya watu wamelala nje baada ya kukimbia nyumba zao jana usiku, na tayari vikosi vya uokoaji vimetumwa katika mji wa Mashiki.
                Watu wakiwa nje ya majengo usiku wa jana wakihofia usalama wao

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni