Andy Murray amesema atapaswa
kukabiliana na presha baada ya kutwaa ubingwa wa kwenye uwanja wa
udongo kwa mara ya kwanza dhidi ya Novak Djokovic, katika michuano ya
wazi ya Italia Jijini Roma.
Muingereza Murray ambaye amefikisha
umri wa miaka 29 siku ya Jumapili, amemshinda mchezaji huyo namba
moja duniani katika viwango vya tenesi kwa seti 6-3 6-3.
Ushindi ulinogesha pia sherehe ya siku ya kuzaliwa Andy Murray


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni