.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 17 Mei 2016

KIPINDI CHA JUKWA LANGU MAY 16 2016, ZIARA YA WAZIRI MKUU UK

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na waTanzania waliojumuika kumsikiliza jijini London. 

Kipindi cha JUKWAA LANGU hukujia kila Jumatatu kikiongozwa na Mubelwa Bandio toka Beltsville Maryland, USA, kuzungumzia mambo mbalimbali yanayoihusu Tanzania ya sasa na ile tuitakayo. 

                                                                        Ni Tanzania kutoka jicho la DIASPORA
 

Na katika kipindi cha juma hili, tulizungumza na Chris Lukosi, ambaye
alitupa muhtasari wa ziara ya Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim
Majaliwa huko nchini Uingereza.


Muhtasari huo ulizua na mjadala mkali juu ya ahadi za serikali kuhusu vibali maalum kwa waTanzania waishio nje ya nchi. Karibu

https://w.soundcloud.com/player/?url=https%3A//api.soundcloud.com/tracks/264521138&color=ff5500&auto_play=false&hide_related=false&show_comments=true&show_user=true&show_reposts=false

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni