.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 15 Mei 2016

MAJALIWA AZUNGUMZA NA WATANZANIA WAISHIO NCHINI UINGEREZA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza uliopo London wakati alipowasili ubalozini hapo kuzungumza na watanzania waishio nchini humo Mei 14, 2016.. Kushoto ni Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Msafiri Marwa.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitia saini kitabu cha wageni wakati alipowasili kwenye ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza uliopo London kuzungumza na Watanzania Mei 14, 2016. Kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki , kikanda na Kimataifa, Augustine Mahiga na kushoto ni Jaji Mkuu wa Tamzania, Mohamed Othman.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Watanzania Waishio nchini Uingereza kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo London Mei 14, 2014. Kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki Kikanda na Kimataifa, Augustine Mahiga. Kushoto ni KaimuBalozi wa Tanzania nchini Uingereza, Msafiri Marwa .
Baadhi ya Watanzania waishio nchini Uingereza wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo London Mei 14,2016,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza uliopo London wakati alipowasili ubalozini hapo kuzungumza na watanzania waishio nchini humo Mei 14, 2016.. Kushoto ni Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Msafiri Marwa.

                                                                                     (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni