.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 4 Mei 2016

SUNGURA TISA WAKUTWA HAI KATIKA JENGO LILILOANGUKA NAIROBI NA KUUWA WATU 19

Sungura tisa wamekutwa wakiwa hai kwenye kifusi cha jengo lililoanguka eneo la Huruma Jijini Nairobi nchini Kenya na kuibua matumaini ya kupata watu wakiwa hai.

Shirika la Msalaba Mwekundu Kenya jana iliposti kwenye twitta yake kuhusu wanyama hao waliokutwa wakiwa wamekwama kwenye jengo hilo la ghorofa baada ya siku tano kupita.

Tukio hilo limekuja ikiwa siku moja tu, tangu mtoto wa miezi saba kuibuliwa akiwa hai kwenye vifusi kutoka kwenye jengo hilo baada ya siku nne kupita.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni