.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 26 Juni 2016

BONDIA ANTHONY JOSHUA ATETEA UBINGWA WA IBF KWA KO

Bondia Anthony Joshua ametetea taji lake la uzito wa juu la mkanda wa IBF, kwa mara ya kwanza kwa kumdunda kwa KO Mmarekani Dominic Breazeale katika raundi ya sana kwenye ukumbi wa London 02 Arena.

Mmarekani huyo ambaye alikuwa hajapigwa katika michezo ya nyuma alianza vyema pambano hilo, na kuhimili mashambulizi makali kutoka kwa bingwa wa pambano hilo Muingereza Joshua ambaye sasa ameshinda kwa KO 17.
                              Bondia Anthony Joshua akimshambulia Dominic Breazeale
          Ngumi nzito ya Anthony Joshua ikimuondolea balansi bondia Dominic Breazeale
  Bondia Dominic Breazeale akiwa chini baada ya kudundwa na Anthony Joshua aliyesimama

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni