Mwalimu mmoja wa shule ya msingi
nchini Kenya amehukumiwa kifungo cha siku 90 jela baada ya mahakama
ya Murang'a kumtia hatiani kwa kuwadhalilisha kingono watoto 10 wa
kiume.
Hukumu hiyo iliyotolewa jana wakati
Afrika ikiadhimisha Siku ya Mtoto wa Afrika, imeagiza mwalimu huyo
kutumikia kifungo cha miaka tisa kwa kila mtoto mmoja
aliyemdhalilisha.
Kwa hukumu hiyo Mwalimu huyo John
Gichia Mugi atatoka gerezani akiwa na umri wa miaka 113 kama ataweza
kubakia kuwa hai hadi kufikia umri huo.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni