Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakipata futari
iliyoandaliwa na Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa na kufanyika
katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma.
Naibu
Spika wa Spika, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiwaongoza wabunge kupata
futari iliyoandaliwa na Wazri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa na kufanyika katika viwanja vya Bunge
mjini Dodoma.
Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt Tulia Ackson akitoa neno la shukrani kwa
Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa mara baada ya futari
iliyoandaliwa na Waziri Mkuu katika viwanja vya Bunge leo mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Bunge na Mbunge wa Ilala (CCM), Mussa Azzan Zungu akitoa
neon la shukrani kwa Wazri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa mara
baada ya futari iliyoandaliwa na Waziri Mkuu na kufanyika katika viwanja
vya Bunge leo mjini Dodoma.
Mbunge wa Bariadi Magharibi (CCM), Mhe. Andrew Chenge akitoa neon la
shukrani kwa Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa mara baada ya
kumalizika kwa hafla ya futari iliyoandaliwa na Waziri Mkuu na kufanyika
katika viwanja vya Bunge leo mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa akisikiliza neon la shukrni
kutoka kwa Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson mara baada ya
kumalizika kwa hafla ya futari iliyoandaliwa na Waziri Mkuu na kufanyika
katika viwanja vya Bunge leo mjini Dodoma.
Waziri
Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa akiwashukuru wabunge wa Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mara baada ya kujumuika naye katika
futari aliyowaandalia leo na kufanyika katika viwanja vya Bunge mjini
Dodoma.










Hakuna maoni :
Chapisha Maoni