Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, akipiga makofi kufurahishwa Serikali kupatiwa gawio hilo.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dk. Medard Kalemani. (kulia) akizungumza wakati wa hafla hiyo ambapo alizitaka hata kampuni na mashirika yenye ubia na serikali yahakikishe nao yanatoa gawio ama faida kwa serikali
Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Mafuta ya Puma Energy Tanzania, Dk. Ben Moshi akimtafasiria kwa kiingereza Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Philippe Corsaletti, yaliyokuwa yakizungumza na Wairi, Dk Mpango.Alhamisi, 9 Juni 2016
PUMA YAKABIDHI KWA WAZIRI MPANGO GAWIO LA SERIKALI SH. BILIONI 4.5
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni