Waziri
Mkuu wa zamani wa Italia, Silvio Berlusconi, atafanyiwa upasuaji wa
moyo baada ya kupata shambulio la moyo ambalo lingeweza kumuua, kwa
mujibu wa daktari wake.
Berluscon
(79) atafanyiwa upasuaji huo kati kati ya wiki ikayo, ili kufanya
mabadiliko ya moja ya valvu ya kwenye moyo kwa mujibu wa Daktari,
Alberto Zangrillo.
Berlusconi
aliwahi kushika wadhifa wa waziri mkuu wa Italia mara nne, hata hivyo
baada ya hapo alitiwa hatiani kwa ukwepaji kodi na ufisadi.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni