Switzerland na Ufaransa wametoka sare
tasa katika mchezo wao wa michuano ya Euro 2016 na kuifanya itinge
hatua ya 16, huku Ufaransa ikiongoza katika kundi A.
Katika mabadiliko machache ya kikosi
cha Ufaransa ilimtumia Paul Pogba, ambaye alionyesha uhai katika safu
ya ushambuliaji ambapo mashuti yake yaligonga mwamba mara mbili.
Mchezaji hatari kwa sasa wa Ufaransa
aliyetokea benchi Dimitri Payet pia aligonga mwamba wa goli baada ya
kupata pasi nzuri kutoka kwa Moussa Sissoko.
Shuti la Dimitri Payet likigonga mwamba
Paul Pogba akionyesha ujumbe maalum wa Siku ya Baba kwa baba yake aliyekuwa akifuatilia mchezo huo
MSIMAMO WA KUNDI A




Hakuna maoni :
Chapisha Maoni