Kitabu cha Elimu ya Kujamiana nchini
China kinachomuelezea msichana aliyeanza mapenzi kabla ya ndoa kuwa
ni wa bei poa, kimeibua malumbano baada ya kuwekwa kwenye wavuti ya
Weibo.
Kufanya mapenzi kabla ya ya ndoa
kumekuwa na athari kubwa za kimwili na kisaikolojia kwa wasichana,
kimeeleza kitabu hicho cha Elimu ya Kujamiana cha Shule za Sekondari
nchini China.
Kitabu hicho kilichapishwa kwa mara
ya kwanza mwaka 2004, kimebainika kwa umma hivi karibuni baada ya
kuwekwa ukurasa wake kwenye wavuti ya Weibo.
Maandiko yaliyoibua hasira miongoni mwa wananchi wa China yakiwa yamezungushiwa kwa kalamu ya njano
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni