Timu
ya Everton inatarajia kutaka kitita cha paundi milioni 75 kutoka kwa
Chelsea iwapo itaendelea kumtaka mchezaji wao Romelu Lukaku.
Chelsea
imekuwa ikijaribu kushinikiza kumpata Alvaro Morata katika kikosi
chake, lakini imekuwa ikikabiliwa na vikwazo katika kufanikisha
kumtwaa mshambuliaji huyo Mhispania.
Morata
amekuwa chaguo la kwanza kwa kocha mpya wa Chelsea Antonio Conte,
lakini pia anaonekana kuvutiwa na Lukaku.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni