Miamba
wawili ambao wapo katika ubora wa juu kwenye michezo kwa sasa duniani
wamekutana ulingoni jana Jijini Las Vegas na kutambiana kwa
kutunishiana misuli.
Tukio
hilo limewakutanisha mwanasoka nyota Cristiano Ronaldo baada ya
kumtembelea mbabe wa mchezo wa mieleka Conor McGregor.
Ronaldo,
aliyemapumzikoni baada ya kutwaa ubingwa wa Euro 2016, yupo Marekani
na alipata muda wa kukutana na McGregor anayejianda kurejea ulingoni
kwa mapambano ya UFC.
Conor McGregor na Cristiano Ronaldo wakiwa wamekaa mkao wa kudundana katika ulingo
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni