Manchester
United wanamfuatili kwa karibu beki wa kulia wa Monaco Mbrazili
Fabinho wakati kocha Jose Mourinho akilenga kukamilisha usajili wa
kikosi chake cha ushindi.
Klabu
hiyo yenye maskani yake Old Trafford inajifikiria iwapo ikutane na
Monaco na kutoa kitita cha paundi milioni 25 kwa mchezaji huyo mwenye
umri wa miaka 22.
Fabinho
anauwezo wa kucheza beki na kupanda kushambulia, pia alishawahi
kucheza kama kiungo mkabaji mara kadhaa akiwa na Monaco.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni