Mama
na watoto wake watatu wa kike wawili wamechomwa visu na mshambuliaji
mmoja nchini Ufaransa kutokana na kuvaa mavazi yasiyositiri vyema
miili yao.
Familia
hiyo ilishambiliwa wakati ikinywa chai wakiwa mapumzikoni katika
kijiji cha
Garda-Colombe
karibu na Laragne-Monteglin huko Hautes Alpes karibu na Montpellier
nchini Ufaransa.
Mama
huyo miaka 46, na mabinti wake wenye miaka 12 na 14 walishambuliwa na
mwanaume mwenye kisu na kisha kukimbia katika eneo hilo, hata hivyo
polisi walimkamata baadaye.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni