Mkurugenzi Mkaazi wa Kampuni ya Resolution Insurance Ltd Oscar Osir akipata iftar pamoja na Sheikh Mkuu wa Dar es Salaam Sheikh Alhadi Musa Bin Salum katika iftar kwa ajili ya wateja na wafanyakazi wake iliyoandaliwa na kampuni ya Resolution Insurance LTD jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mkaazi wa Kampuni ya Resolution Insurance Ltd Oscar Osir akiongea na wadau mbalimbali(hawapo pichani) kwa ajili ya kuwashukura kwa kuja katika iftar iliyoandaliwa na kampuni ya Resolution Insurance LTD jijini Dar es Salaam.
Sheikh Mkuu wa Dar es Salaam Sheikh Alhadi Musa Bin Salum |
Wafanyakazi wa Resolution Insurance |
Wateja wa kampuni ya Resolution Insurance wakipata iftar |
Wadau mbali mbali wakipata iftar |
Wadau mbali mbali wakipata iftar |
Sheikh Mkuu wa Dar es Salaam Sheikh Alhadi Musa Bin Salum akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkaazi wa Kampuni ya Resolution Insurance Ltd na Mwenyeketi wa Bodi ya Wakurugenzi Bi.Zuhura Muro |
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni