Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Dk Kamugisha Kazaura (kulia) akipata maelezo kutoka kwa baadhi ya wafanyakazi wa TTCL wanaoshiriki kwenye maonesho ya 40 ya Kimataifa ya Biashara viwanja vya Mwalimu Nyerere sabasaba jijini Dar es Salaam.
Kulia ni baadhi ya wateja na wageni anuai wanaotembelea banda la kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) katika Maonesho ya 40 ya Kimataifa ya Biashara viwanja vya Mwalimu Nyerere sabasaba jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya TTCL wakipiga picha na kufurahia tuzo mbili walizozitwaa katika kwenye maonesho ya 40 ya Kimataifa ya Biashara viwanja vya Mwalimu Nyerere sabasaba jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya TTCL wakipiga picha na kufurahia tuzo mbili walizozitwaa katika kwenye maonesho ya 40 ya Kimataifa ya Biashara viwanja vya Mwalimu Nyerere sabasaba jijini Dar es Salaam. Pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya TTCL, Prof. Tolly Mbwette (kulia)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni