Usikose kumfuatilia kupitia akaunti yake ya Instagram @msubi_binagi ili upate updates kuhusu kipindi chake kipya cha Tv cha "Jua la Utosi" kitakachoanza kuonekana online na baadae katika runinga ambayo utatangaziwa.
Pia utafahamu kuhusu filamu yake mpya itakayotoka hivi karibuni akiwa na timu yake.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni