Mkuu wa Wilaya ya Longido,Mh.Daniel Chongolo (pili kulia) akipata
maelezo mafupi kuhusiana na moja ya chanzo cha maji ndani ya wilaya hiyo
kutoka kwa Mhandisi wa Maji wa Wilaya ya Longido,Mhandisi Musiba
Chongolo alielezea changamoto kubwa inayowakabili Wananchi wa Wilaya
hiyo ni uhaba mkubwa uliopo katika wilaya hiyo,pamoja na chanagamoto
hiyo kubwa,RC Chongongolo akabainisha kuwa hatua za kukabiliana na uhaba
huo zimeanza kuchukuliwa.

Mh.Daniel Chongolo (pili kulia) akielekezwa jambo kwa umakini kutoka
kwa Injinia Musiba,mara baada ya kuvitembelea vyanzo mbalimbali vya maji
vilivyomo katika wilaya ya Longido.

Chongolo akiwa na kamati ya ulinzi na Usalama wakikatiza kukagua maeneo
mbalimbali yenye vyanzo vya maji,katika suala zima la kupambana na
uhaba wa maji uliopo katika wilaya ya Longido,ambayo imeelezwa kuwa ndio
changamoto kubwa wilayani humo.

Chongolo akifafanua jambo kwa Injinia Musiba mbele ya kamati ya ulinzi
na usalama ya Wilaya hiyo,mara baada ya kufanya ziara fupi ya kutembelea
vyanzo vya maji vinavyopatikana ndani ya Wilaya hiyo katika suala zima
la kuanza kuchukua hatua madhubuti ya kupapambana changamoto kubwa ya
uhaba wa maji ndani ya wilaya hiyo

RC Chongolo akiwa sambamba na Mhandisi wa Maji wa Wilaya hiyo Injinia Musiba wakikagua chanzo cha maji kitakachokuwa kikihudumia kata za Tingatinga na Longido kwa asilimia 100.RC Chongolo amesema kuwa Mahitaji ya maji katika kata hizo ni lita za ujazo milioni moja wakati chanzo hicho
kitakuwa na uwezo wa kusukuma zaidi ya lita za ujazo milioni 2 kwa
siku,amesema kuwa chanzo hicho kipo katika mteremko wa mlima
Kilimanjaro wilayani Siha,ambao ni maarufu kwa jina la mto Simba.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni