Mchezaji tenesi namba moja duniani
kwa wanawake Serena Williams amesema anajisikia ahueni baada ya
kufanikiwa kutwaa taji lake la 22 Grand Slam huko Wimbledon.
Serena mwenye umri wa miaka 34, sasa
amefikia rekodi ya Steffi Graf, baada ya kuibuka na ushindi wa seti
7-5 6-3 dhidi ya Angelique Kerber hapo jana.
Serena Williams akiwa ameupiga mpira katika mchezo huo wa fainali ya Wimbledon
Serena Williams akiwa anakumbatiana na Angelique Kerber baada ya kumshinda
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni